Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 741
Mama anahasira huyooo! Hahahaha!
yaani uyu mama utafikiri yeye ndo rais...itatokea nini siku mama salma kikwete akiwa ameambatana na mkuu wa kaya,..jk akiwa anaogea kuhusu jambo fulani, mama salma akadakia...
hivi wakenya wanamrecognise uyu mama kama nani,,,hana cheo chochote, wakenya anawahusu nini, anafikiri watamsikiliza,..wakenya walimpa kura mmewe siyo yeye...
by the way,..hii kitu ni ya zamani, sio current. my point was that, kama mwanaume, utakuwa kwenye kibano cha aina gani kuwa na mke kama huyu anayekulazimisha wewe rais uje mbele ya kadamnasi umtaje yeye kama ndo mke pekee..unafikiri mzee kibaki hata usingizi alilala...atakuwa alipigwa vibao huko home hadi akasema..haaaa,mama kesho lazima naita press conference wewe tu ndo mke wangu...kashikishwa adabu..
jamani, mim mwenzenu nikiwa mbele za watu tunaongea, na niko na my waifu wangu pembeni, nikiwa naongea halafu yeye ananikatisha maongezi yangu, chamoto atakiona hao watu wakiondoka au tukifika home...sitampiga ngumi lakini...
Mnaambiwa msiwatende kwa uovu wake wa ujana wenu. Namsapoti mama Kibaki, abiria chunga mzigo wako.
Nyie wa hivi mkikamatika ndio mnakuna hadi nazi!:lie:
Kama anafanya kwa kupenda, sioni ubaya. Tatizo ni pale anapofanya kwa kulazimishwa, ama kwa kudhalilishwa mbele ya watu. Mfano, baba yuko na wageni anaongea nao sitting/living room then mama anakuja na kuuliza Baba flani hivi leo umekaa hapa unapiga soga ndo kusema kwamba hatutakula chakula cha jioni?
Nyie wa hivi mkikamatika ndio mnakuna hadi nazi!:lie:
kwa upande wangu mimi, waifu akiwa anajisikia vibaya na housegirl hayupo, nitapika, nitadeki,nitaosha vyombo, nitanawisha watoto, nitatandika kitanda etc...ila akiwa mzima..kwakweli atanisamehe...sitaki bughudha kabisa...ni kazi yake haiihitaji maelezo.
Huyu mama inaonesha ni mtambo wa gongo! Hizo hasira naamini alikuwa tayari kupata kisusio cha mtu yeyote ambaye angekatisha mbele yake!
Mhh, tunawapenda wake zetu lakini wengine ni viroba vya bangi!!