1st year udsm computer science students Tusaidiane

a-zeem

Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
18
Reaction score
0
habari zenu jamani. hivi 1st year wa computer science tunatakiwa kuripoti lini shuleni kwa ajili ya masomo. na pia tunatakiwa tukutane wapi. Na pia ratiba ni kivp kuhusu 1st day.

Thanks In Advance
 
ni vema leo uje chuo kuangalia ratiba na kufahamu mengineyo kwa uhakika zaidi
 
habari zenu jamani. hivi 1st year wa computer science tunatakiwa kuripoti lini shuleni kwa ajili ya masomo. na pia tunatakiwa tukutane wapi. Na pia ratiba ni kivp kuhusu 1st day.

Thanks In Advance

Kwahiyo wakati unaaply fomu ulipewa humu au???
 
habari zenu jamani. hivi 1st year wa computer science tunatakiwa kuripoti lini shuleni kwa ajili ya masomo. na pia tunatakiwa tukutane wapi. Na pia ratiba ni kivp kuhusu 1st day.

Thanks In Advance

Unataka uonekane na wewe unajifunza #code au ndo ulimbukeni hapa ndio noticebord ya chuo udsm????
 
Back
Top Bottom