Atlantis Voyager
JF-Expert Member
- Jan 19, 2018
- 371
- 502
Tafuta fundi magari mzuri.....Kuna gari 1zz engine vvti inatoa mlio ambao unaonekana ni kama unatoka ndani ya engine na sio nje kwenye mkanda, tensioner imenunuliwa mpya, vvti sensor inaonekana iko vizuri tumetoa chujio,Timing belt haijavutika bado iko vizuri, Anahitajika fundi mwenye akili na aliyewahi kutatua tatizo la kelele za kama mkanda lakini zinatokea ndani ya engine upande wa kushoto.
Huyu hapa JituMirabaMinnendio natafuta fundi mzuri lambardi fundi nilionao naona kofia inawazidi kimo, yaani gari wana fanya trial and error.