2-05-2012 kiama cha c c m

2-05-2012 kiama cha c c m

MATESLAA

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
1,246
Reaction score
75
wadau tarehe 2 mwezi wa 5 mahaka kuu inamvua ubunge mbunge wa tabata segerea so vijana kwa wazee wote tukae mkao wa kula kwa uchaguzi mwingine..cha msingi ni kuhakikisha tunaweka stashahada zetu vizuri....na kujitokeza kwa wingi kituoni kuwaadhibu magamba kwa mara ya pili mfululizo



nawasilisha hoja mezani
 
Acha hizo, mnatafuta sababu ya kuja kudai hukumu hii pia ilivuja, ili ku-justfy hukumu ya Lema iliyovuja kule Arusha. Kwa nini usisubiri hiyo tarehe, kuna haraka gani?
 
wala hatuna haraka mwaya coz hilo lilikuwa jimbo letu kitambo sema mlicheza rafu
 
Kesho sumbawanga mjini kuna jimbo wazi hivyo cdm karibuni sanaaaa
 
Kesho sumbawanga mjini kuna jimbo wazi hivyo cdm karibuni sanaaaa

Yaani kama mahakama zitatenda haki kwa kutengua ubunge wa majimbo ya Sumbawanga mjini na Segerea nitafurahi sana na kuamini duniani haki ipo.

Hawa waliporwa wazi wazi ushindi wao na magamba ambayo yalikuwa yamechanganyikiwa kwa kweli kipindi kile cha uchaguzi.
 
huko hatupataki kuna wachawi wengi tunawaachia magamba
 
Back
Top Bottom