Freddie998
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 675
- 370
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KQNdege za shirika gani?
Matengenezo ni gharama sawa na manunuzi ya mpya
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliona wafanyakazi wa JKIA wakikataa hii move. Kwanini Serikali inakubali hii move, Kq kwa kiasi kikubwa haimilikiwi na serikali, viwanja vinamilikiwa na serikali! What is there to gain?This is the same KQ that wants to take over all airports and manage them? [emoji38][emoji38][emoji38]
NO THANKS
Hahahaa... umekimbilia police kwa kuianzisha wewe hii mada. Hivi hizi ni zile mlizo kodisha kutoka kwa wenyewe?
Utoto kazi sana
Hapana. Ni zile za TanzaniaHahahaa... umekimbilia police kwa kuianzisha wewe hii mada. Hivi hizi ni zile mlizo kodisha kutoka kwa wenyewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Due afadhali nimepata furaha sana ila tupeni mlejesho azijalipuka kabisaNgoja wana Bongo wafike, hii thread watashikiria kama nyama choma
Sizani hizo zina kaa kuu kuu design za 90'z, za Tz ni brand new, Straight out of factory. Ukikalia viti unasikia harufu ya upya upya.