Estate Dsm
Member
- Oct 28, 2019
- 29
- 6
Karibu mkuu Uishi Salasala Upate hewa ya Kutosha toka bahari ya indiKila la kheri ndugu!
Muonekano wa nyumba yako ni very disappointing kwa kodi uliotaja. Hata hivo Mungu aibariki biashara yako.Karibu mkuu Uishi Salasala Upate hewa ya Kutosha toka bahari ya indi
Na hapo atakwambia kodi ya mwezi mmoja kwa dalali!Muonekano wa nyumba yako ni very disappointing kwa kodi uliotaja. Hata hivo Mungu aibariki biashara yako.
Sinza nyumba mbovu pesa nyingi, kuishi pazuri Kuna raha yakeBora ukaishi Sinza
Picha za nyumbaView attachment 1265952Hii hapa Inapangishwa -Goba senta
Vyumba2, kimoja Masta, Sebule, Choo ndani na jiko.
Nyumba mpya, Maji yapo, Luku yako, parking ya gari.
Kodi laki 3/Mwezi
Mawasiliano: 0686648630View attachment 1265947
Kuna watu wanaishi hapo!Muonekano wa nyumba yako ni very disappointing kwa kodi uliotaja. Hata hivo Mungu aibariki biashara yako.