marandu2010
JF-Expert Member
- Aug 7, 2010
- 1,201
- 446
hyo ni kama unavyona samsung na iphone upand wa games na hawo ndio wabab Xbox ni Microsoft Ps sonyTofauti ya x box na ps ni nini? Au ubora wa picha ya x box kwa mfano unapocheza game ya mpira unalingana na ps ipi 2 au 3 au 4 naomba jibu
Sent using i Phone x
xbox 360 inaendana na ps3 exactly kila kitu,xbox 1 inaendana na ps4,xbox consoles ni imara zaidi na zina toa picture ktk quality ya 1080p,wkt mpinzan wake ps3 huwa anashuka mpk 720p,vifaa kama controllers za xbox ni ghali lkn vinadumu muda mrefu,kiufupi xbox ni roho ya paka na ni mbadala wa ps3.hyo ni kama unavyona samsung na iphone upand wa games na hawo ndio wabab Xbox ni Microsoft Ps sony
Sent using Jamii Forums mobile app