Vincent mndeme
New Member
- Apr 8, 2011
- 4
- 0
me nipende kwanza. kupendwa usipopenda kero kweli.
teh! LD Ngeli yako teh! Binafsi napenda vyote coc ikipungua kwa moja hakuna mapenz!
Hahahah
LD wewe umenichekesha
kwa kweli dahhh..
Hivi kumbe nilichekesha watu hapa.
Dah, afadhali, naamini mliongeza siku tano ktk siku zenu za kuishi.
Tehe teheee
LD mpenzi
embu nikumbushe kidogo
Eti we ulinipenda kwanza au
mie ndo nilikupenda kwanza au
tulipendana.. na je utamu uko wapi?
upendo wa upande mmoja au kote kote..
Sisi tulipendana mpenzi, kama utani lakini ikawa kweli.
Dah, inapendeza iwe kote kote aisee, manake hii ya ONE WAY TRAFFIC inatesa sana.
Sasa jpili hii wapi aisee...............