2 nd selection ya police

nash koba

Member
Joined
May 9, 2012
Posts
47
Reaction score
6
Hello wana JF
mi ni mara yangu ya kwanza kupost my issue katika jamvi la JF.

naomba kujua mwenye under capeti info' ya lini second selection ya graduate kwa post za police inaweza kuwa out, mi nimiongoni mwa walio ombaga.
asanteni waungwana:rain::rain::rain:
 

2nd selection kivipi?au umedanganywa,maana hao waliochaguliwa wameenda CCP Jumapili iliyopita.Selection ni moja tu,chombo cha dola siyo kama shule ya kata,aliyekupa taarifa anakupa moyo tu.Na kwa taarifa yako wengi waliochaguliwa wana ndugu au watu wanaowafahamu huku,ushaidi ninao wa kutosha
 
Exactly
 
mkuu kwanza niweke sawa, huko hakuna undugu, kma ulifanya usaili na ukapita hakuna longo longo.
Watu wameenda moshi jpili lakini ni watu wa it tena sio wote, wengine wamebakishwa zaidi ya 200 kwasababu ccp haina uwezo wa kuwachukua wote kwa wakati mmoja.
Hao 200 wataajiriwa kwanza then ccp wataenda baadae.
 

Hauna taarifa sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…