2 pac na b.i.g notorious nani alianzisha beef

2 pac na b.i.g notorious nani alianzisha beef

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Wadau hili suala limekuwa linanipa headache naombeni suggestion zanu kwamba
ni nani aliyemwanzishia mwenzie na kwanini
 
" Its 15 yrs today since Big his cangle craked brain brown back this is dame game so wack shame on black"

Aliyeanzisha beef ni 2pac,"remember I used to letchu sleep on a coach and beg ur b!t*h to sleep in my house,first off I f**ked ur b!t*h and ur clique claimed"
 
lakini kabla ya hiyo nyimbo nilifatilia B.I.G alianza kwa kuimba

Who shot ya? Separate the weak from the obsolete, hard to creep them Brooklyn streets.
 
Tupac is my favourite rapper of all times ila amekaa km yeye ndo alianzisha vile...too bad wote wawili hawapo leo kutokana na beef za ajabu ajabu.
 
Tupac
is my favourite rapper of all times ila amekaa km yeye ndo alianzisha
vile...too bad wote wawili hawapo leo kutokana na beef za ajabu
ajabu.
true namkumbuka big na nyimbo yake ya victory
 
je mnajua vifo vya tupac na big sio sababu ya beef zao.
 
je mnajua vifo vya tupac na big sio sababu ya beef zao.
 
" Its 15 yrs today since Big his cangle craked brain brown back this is dame game so wack shame on black"

Aliyeanzisha beef ni 2pac,"remember I used to letchu sleep on a coach and beg ur b!t*h to sleep in my house,first off I f**ked ur b!t*h and ur clique claimed"

'Hit em up'....hahahahahahaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom