20% apata ajali KIGOMAA

20% apata ajali KIGOMAA

Bajabiri

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
9,728
Reaction score
1,204
Mwanamuziki 20 pasent amepata ajali ya gari mkoani kigoma baada ya tairi la gari hiyo aina ya noah kupasuka na gari kupinduka,msanii huyo na wenzie waliokuwa wakitokea kigomwa kwenda mwanza wametoka salamaaaa wamepona
 
uuuh.....afadhali wamenusurika.......hizi ajali zimezidi sasa...a a
 
Anasema ubovu wa barabara nao umechangia,laikini kilichofanya watoke salama ni mwendo wa wastani......
uuuh.....afadhali wamenusurika.......hizi ajali zimezidi sasa...a a
 
Hayo ni maoni yake. Na sio uongo kama barabara zina ubovu, ila alichosahau ni kwamba (1) Ajali haina kinga; kwenye barabara za lami tambarare watu wanakula mizinga (2) Ajali haina miadi - Inapokuwa siku yako kuramba mzinga imefika, na wakati wake; utaramba tu mzinga, hata kama uko ndani kwako umelala, (3) Ajali haina mwenyeji - iwe yeye tu ndio mtu wa ajali na wengine inakuwa wao sio wa kupata ajali. Akikumbuka hayo, atashukuru kutoka salama na atakapotunga wimbo, aimbe kutoa shukrani zake.
 
Hahahahaaaaa,,,,,,,,sijui bana,,,,,,ila inawezekana........alikuwa na private show,maana kasema alikuwa anarudi mwanza ili kesho apande ndege arud jijini daaaa
Walipelekwa Kigoma na CCM kuzindua barabara na JK?
 
Nimeipenda namba 3 maan sijawah kuiona,AJALI HAINA MWENYEJI
Hayo ni maoni yake. Na sio uongo kama barabara zina ubovu, ila alichosahau ni kwamba (1) Ajali haina kinga; kwenye barabara za lami tambarare watu wanakula mizinga (2) Ajali haina miadi - Inapokuwa siku yako kuramba mzinga imefika, na wakati wake; utaramba tu mzinga, hata kama uko ndani kwako umelala, (3) Ajali haina mwenyeji - iwe yeye tu ndio mtu wa ajali na wengine inakuwa wao sio wa kupata ajali. Akikumbuka hayo, atashukuru kutoka salama na atakapotunga wimbo, aimbe kutoa shukrani zake.
 
Duh! Pole sana mkulu 20% Unanikuna sana na ule wimbo wako wenye verse " Achana na ile ndoto ya kitandani yakutaka kujenga gorofa angani"
 
..Tunarudishana nyuma mambo ya kuibiana...
..Mbuzi ni mbuzi hawezi kuwa simbaa

Kwahiyo chama kimeingia nae ubia kwa ss?!
 
Kweli jamani hata simba hawezi kua Kondoo!
 
uuuh.....afadhali wamenusurika.......hizi ajali zimezidi sasa...a a

Bora amenusurika ili atakapokuja kutumbuiza arachuga, ukapate "live" kitu cha tamaa mbaya,.... itakuwa lini vile?
 
Mwanamuziki 20 pasent amepata ajali ya gari mkoani kigoma baada ya tairi la gari hiyo aina ya noah kupasuka na gari kupinduka,msanii huyo na wenzie waliokuwa wakitokea kigomwa kwenda mwanza wametoka salamaaaa wamepona
Mungu amewanusuru!Maana ajali zimeZidi hasa wanamuziki hadi vifo jamani.
 
Bora tu 20 per kapona....maana nyimbo zake ni maujumbe tu!
 
uuuh.....afadhali wamenusurika.......hizi ajali zimezidi sasa...a a

Utegemee nini kama utanunua tyres za mchina na zilizochakachuliwa.... Katika kununua bidhaa tuzingatie ubora wake na kuangalia mara kwa mara tyres zinapoisha tubadilishe haraka......
 
Back
Top Bottom