20% Apelekwa Mahakamani Kwa Kukutwa na Kilo 20 za BANGI

Nilivosikia mimi ktk clouds fm amekamatwa na gram 20 tu za bang na sio kgs 20 kama inavoripotiwa hapa jf.
 
Nilivosikia mimi ktk clouds fm amekamatwa na gram 20 tu za bang na sio kgs 20 kama inavoripotiwa hapa jf.

Hiyo THREAD IMEKOPIWA na ku KUPESTIWA kutoka Kwenye WEBSITE Ya MILLARD AYO wa CLOUDS FM..Labda haukusikia vizuri au yeye alikosea ku-post kwny web yake..
 

acha kusifia ulevi ***** wewe mwenyewe unajiona mjanja kualarisha bhange kwa reference ya miji ya wazungu kwani mzungu akiliwa tigo na wewe utatoa jicho acha kupoteza watoto
 
bange inavumbua tabia asili za mvutaji hivyo kama wewe tabia asili yako ni mzubavu lakini
kwa njia moja ama nyingine umefanikiwa kuficha huo uzubavu wako basi siku ukivuta tuu
tabia asili inachomoza hadharani. ndio maana utakuta mtu mchangamfu anaweza vuta
akazubaa. hivyo hivyo kama wewe tabia asili yako ni katili flani basi ukivuta tu tabia asili yako
inachomoza. wapo ambao wakivuta wanatunga mashairi deep sana kwani tabia asili yao
ni utunzi.

kwa vile wengi wetu hatujui tabia asili zetu ni bora kukaa mbali na hii kitu kwani inaweza ibua
tabia asili ambazo bora zingekaa huko huko zinakojificha 🙂
 
asilimia kubwa ya wasanii wa bongo wanatumia kijiti
 
Sitosahau huyu jamaa alichokifanya pale msamvu kipindi kile kashinda tuzo kibao Cha kili

Alikuwa kwenye basi sijui anaenda Dodoma au tabora alikaa siti ya nyuma

Akapanda kwenye siti akatoa makalio yake dirishani akavua suruali yake aliyovaa mlegezo tundu likaonekana nje akatingisha kidogo

Wapiga debe wote wa msamvu Moro. Full kushangilia heheeh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ama kweli bangi mbaya
 
Tundu likaonekana sio 🤣🤣🤣
 
Hivi siku hizi yuko wapi huyu jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…