20 Embu Members of County Assembly Go to Tanzania to Learn Good Manners

20 Embu Members of County Assembly Go to Tanzania to Learn Good Manners

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
4,310
Reaction score
7,465
Screenshot_2021-12-07-08-03-08-209_com.twitter.android.jpg
 
Kuna mambo mengi sana ya kufanywa kule Arusha Tanzania. Moja wapo ni kuongea kuhusu usalama wa chakula kwenye kaunti na nchi yao kwa ujumla.
 
Badala mshukuru mnakuja kumwagiwa pesa na si MCA's only mpaka MP's, they are well paid si kama hao wenyu hawana pesa
 
Badala mshukuru mnakuja kumwagiwa pesa na si MCA's only mpaka MP's, they are well paid si kama hao wenyu hawana pesa
Karibuni kuja kujifunza to be "civilized society", Kenya mko mbali Sana kufikia maisha ya watanzania, Mambo muhimu wanayopaswa kuja kujifunza ni
1)Kuishi bila kubaguana
2)Amani, umoja na mshikamano
3) Jinsi ya kupambana na rushwa
4) Kuthamini na kuwajali masikini
5) Uwajibikaji wa serikali
6)Sera nzuri za umiliki na matumizi ya Ardhi
7)Huduma Bora za Afya
8)Matumizi Bora ya pesa za serikali
9)Usimamizi Bora wa miradi ya serikali
10)Utu wa binadamu
 
Back
Top Bottom