Karibuni kuja kujifunza to be "civilized society", Kenya mko mbali Sana kufikia maisha ya watanzania, Mambo muhimu wanayopaswa kuja kujifunza ni
1)Kuishi bila kubaguana
2)Amani, umoja na mshikamano
3) Jinsi ya kupambana na rushwa
4) Kuthamini na kuwajali masikini
5) Uwajibikaji wa serikali
6)Sera nzuri za umiliki na matumizi ya Ardhi
7)Huduma Bora za Afya
8)Matumizi Bora ya pesa za serikali
9)Usimamizi Bora wa miradi ya serikali
10)Utu wa binadamu