Sosinsa Unswe
Member
- Oct 30, 2016
- 91
- 76
Wana JF nawasabahi,
Natumai sikukuu ya Maulid imeenda vyema na wachache ambao wanauguliwa na ndugu jamaa na marafiki Mungu awape uponyaji.
Nimejitokeza hapa ili kuwauliza wana JF kama kuna mtu ana taarifa sahihi za alipo msanii 20%,yuko wapi,kaacha music?kama jibu ni ndio anafanya shughuli gani huko aliko?na kama anaendelea na Music yuko kwa producer gani?Man Walter a.k.a man watet/man maji?
Kifupi hadi nafikia kuleta uzi huu mbele yenu sioni msanii mwenye mashairi ya mafunzo kama 20%.Inaniwia vigumu kuwasikiliza wasanii wengine maana maudhui yao ni mapenzi tu asubuhi mpaka jioni.
Japo Darasa kanishika kwa kipindi hiki.
Kwa anayefahamu juu ya 20% aliko na maisha yake ya sasa karibu utiririke