Kuna mkuu wa mabandiko ya uchambuzi wa kisiasa Nguruvi3 kwa wale wanaofuatilia mijadala yake watakubali.
Aidha, nashangaa hayupo kwenye list ndugu Ritz.
Huyu ni mtetezi kindakindaki wa sera za chama tawala, huwa ananifurahisha kwa ubishi wake usiokoma kama wa jeshi la MTU mmoja sambamba na majibu yake ya hovyo, mkato, yenye kuudhi na kukera washindani wake bila ya yeye kukasirika.