20 Most Influential Young People in Tanzania

Ok kwa haraka haraka naona % kubwa ya hawa jamaaaa weliweza kuifluence hata watu wenye influence wengi wako aaasociated na Media Ukiondoa media then sehemu nyingine influence wako inaweza kuchipuka haraka ni siasa na burudani.

Kwa nini most influential people waliwai kufanya kazi kwenye mambo yanahusiana na kusambaza au kupeanahabari au wanafanya kazi kwenye mambo ya habari? Hakuna watuwaliokuwa influential kutokoana na kazi zao kwenye Sheria,Marketing,Uhasibu.

Kwa hiyo jibula chap chap nalopata hapa inabidi watu tuelewe ili kuwa ifluential kwenye jamii lazima career yako iwe assocociated na Media or Politics or sanaa/ burudani
 
Hii list haijakwenda shule maana muandaaji naona hakufanya utafiti wa kutosha wa hii kitu, maana amekaa kwenye computer yake Dar na kwa kuwa yeye anaamini hivyo anataka na sisi tuamini hivyo, mkuu fanya utafiti ndo uje na list sio kuifikiria tu kichwani, sina haja ya kupambanua zaidi maana wadau wengi wamesha uliza ,apungufu ya hii list...kwa kukufahamisha Dar ni asilimia ndogo ya watanzania, unaweza ukasema ooooh ndo town na kuna watu wengi...mkoa wenye watu wengi kwa mujibu ya senza ya 2002 ni Shinyanga, ukitoka hapo kibaha tu kuna majina hapo hata hawaya jui, sasa unadai Tanzania...kalaga bahoo...jipange tena mkuu kama umetumwa hujatupata bado...watu wa vijijini wanamaisha yao na wana watu ambao ni influential kwao, kataje hayo majina yako kwao, utakutana na swali hili (HUYO NDO NANI?) mara kibao......mimi simo! ungefanya utafiti Zitto angekuwa 1. Ila si hao wa makampuni ya simu na majarida, ama hayo majina ya Ikulu, hiyo Professional Approach mbezi tu hawaijui...wewe ukisikia kwenye clouds ndo unajua mambo yako hivyo..pole!
 
Hata kama haihusiani na Media lakini labda amejaribu kujenga uhusiano mwema na Media katika kufanikisha kazi na malengo mengine - Naamini chochote unachofanya lazima media iwe na mkono fulani haswa katika kutangaza na kueneza neno na taarifa zako zingine
 
Mh...Mmemsahau Seth Benjamin ambaye litembea toka Butiama hadi Arusha kuunga mkono Azimio la Arusha!!!:smilez:
 
huo mnaoita ushawishi ni katika anga ipi?!
-Elimu
-Ujasiriamali
-mauzo ya sura.. AU?
binafsi nna hakika kuna watu wapo tu, hawafukuzani na Media lakini wanafanya makubwa... MLETA HOJA WAZA UPYA KUHSU LIST YAKO!!USIROPOKE, UTACHEKESHA!!
 
hiyo list wametoa synovate, temco au wewe ulipokuwa ukiota ndoto? tunaomba authenticity yake; maana jf inaelekea kuwa mediocrity.
 

I celebrate our daughters on the list. Congratulations and keep on working hard. As they say Wera wera werrrraaa.
 
I think John Mnyika and Nape Mnauye deserves a spot on this list I enjoy how John tries to explain and analyze what ails TZ, I admired and appreciated Nape for coming here to explain what happened in one of contentious elections in which he was involved; I think about a year ago he spent the whole evening going back and forth with some of the members here, with intelligence and respect he answered a number of our questions. I genuinely wish him success in his endeavors.

Oh Nilimsahau Mjengwa. Ana mashabiki wa kipekee ambao wanawasiliana naye kama vile wanamfahamu. Naye akiamua anaweza kuwa ni chombo kizuri cha elimu ya maisha.
 
Namfagilia Shamim ( 8020 fashions) yeye kwenye blog yake anafuatwa sana na akina dada wa umri wa kati ( 25-35) napenda mijadala yake na hao akina dada ( mama) Ninaamini kuwa akiamuwa anaweza kuwa ni chombo muhimu sana cha kuwapa elimu ya kimaisha watoto wetu wa kike ( eating disorders, ngono zenye akili, financial intelligence; etc.)
 

kweli kabisaaa....
 
Michuzi? No way jose!! He's in his 40s. He's officially an old head. I mean, let's face it...I've been hearing about Michuzi since I was in primary school. He definitely doesn't belong in that list.

hata mie nlishangaa kidogo kwa michuzi kuwa ktk list hii,hata shigongo ni mbaba sio kijana.
 
Nini base ya wao kuwa influential? Ukiniambia Lady Jaydee, Zitto Kabwe, Emelda, Prof. J naweza kukuelewa kwani bidii zao ndo zinawasimamisha lkn hao wengine km sio hizo kampuni kuwabeba tusingewasikia, sasa how do you call them influential? Influential to who???
 

mikoani wapo vijana wengi na wanafanya makubwa pia,fatilieni.pia hapo halima mdee anastahili kuwepo,pindi chana na isack fransis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…