20%: Nyota ya Jaha iliyozimika ghafla

mola na shani zake,bila kusahau walimwengu na ubaya wao.
walimwengu na ubaya wao...walimfanyaje?au yeye mwenyewe alipoteza muelekeo baada ya kuzidisha yale mambo 'ya cha wapi hiki'
 
walimwengu na ubaya wao...walimfanyaje?au yeye mwenyewe alipoteza muelekeo baada ya kuzidisha yale mambo 'ya cha wapi hiki'
kweli ni mutu ya bangi sana.lakini watu walikula sana mgongoni mwake,wakalinyonya jasho lake kisawasawa.na vile ni mtu ya ndumu akahisi itamletea nafuu akapotea kabisa.
 
Alijiharibia mwenyewe kwa kudhani bangi ndiyo inamsababisha aweze kuimba.
 
Nini kimempata? mbona kila mchangiaji anaongea kwa mafumbo?
 
Wizara ya michezo na wasanii iandae programme maalumu kwa ajili ya hawa vijana wanaotoka. Wengi wao hutoka kwenye maisha magumu wengine wanakuwa hawana Guidance. Hawa vijana wengine wanaotoka unakuta wengi wanasupportiwa guidance na wazazi wao. Mifano mingi Diaomonda- mama yake, Sammata wazazi wake wote. Kifupi ili tusipoteze vipaji kama cha 20% na kuweza kuwafanya waendelee kijuajiriSerekali iangalie jinsi ya kuwasupport wasanii - financially lakini hata kimuongozo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…