ushuru ni milioni 4.8 + uchakavu+clearing agent
Duh kumbe ndo hivyo Candid Scope, mimi nimependa muonekano wake na pia niliona ni kama bei nafuu kiasi, undhani ipi ni bora zaid mkuu?Mitsubish pamaja na uzuri wake, itakuja kukuletea usubufu inapoelekea ukingoni. Ni ugonjwa wa moyo kati ya magari ya kijapani hilo nalikwepa kwa sana tu.
SPECIFICATIONS
Location: YOKOHAMA, Mileage: 99,357,Registration Year/month:2000/4, Grade: ZR,Chassis #: H71W-0100862, Engine Size: 1,830cc,Engine Code: 4G93
TOTAL PRICE = FOB Price + Shipping Cost + Insurance + Inspect + Cert = $2,314.
MSAADA TAFADHALI NINAHITAJI KUA NA KIASI GANI JUMLA PAMOJA NA USHURU BANDARINI ILI NIMILIKI GARI HII?
Duh kumbe ndo hivyo Candid Scope, mimi nimependa muonekano wake na pia niliona ni kama bei nafuu kiasi, undhani ipi ni bora zaid mkuu?
umetumia kikotozo kipi???ushuru ni milioni 4.8 + uchakavu+clearing agent