2000 Posts today!!!! Without a ban...

2000 Posts today!!!! Without a ban...

:hand:😛reggers::A S wink::A S crown-1::tea::whistle::A S thumbs_up::clap2::first::focus::ban:
 
Hongera ila angalia usije pigwa, endelea kuwa muadilifu kwa sheria za hapa!
 
Afadhali umejikumbuka. Wengine wanasahaulika hadi wanajisahau wenyewe.

Kama hazikuwa na uchakachuaji wa jamvi basi kibarua umekipiga...Hongera sana.

Mimi ni member wa Anti-Chakachua Society of Tanzania (ACST)...
 
Hamna lolote, hongera nini? S.I unit ni post ngapi?
 
Karekodi kasafi hako endelea kuwa mtiifu
 
Back
Top Bottom