Ebanae, gari bado inaruhusu. Punguza laki 5 tu nimnunulie mtu, naweza kumwokoa na daladala hustles!
Unamnunulia nani kaka? hujawahi kuniambia umeoa bwana lol ... ila u r right huu usafiri wetu unakera mimi mwenyewe unaanza kunishinda.
Jaribu kumsemesha mshkaji, ila kuna mdada hapa alikua anaomba kwa 7.2, jamaa akamrudisha nazo. Kwa upande mwingine, sijawahi ku-test negotiation skills zako mkuu ili niweze kusema huwezi kupata kwa 7m, kwa hiyo nakushauri muendee hewani tu.
TUNASUBIRI MABASI YAENDAYO KWA KASI YA AJABU (Nikikumbukaga mchakato huu nacheka kweli utafikiri ni wendawazimu walikuwa wanajadiliana namna ya kunyoana hahahaha)