wewe acha hizo kwani ww japan umeileta kwa bei gani na wengine washindwe?
wewe acha hizo kwani ww japan umeileta kwa bei gani na wengine washindwe?
Nn maana ya biashara? gari imgarimu 6.2 auze 6.5? UTANI! Huwa tunagonga sm ukiona hakubaliani na pesa uliyonayo unakwenda tradecarview kimya2!
wewe acha hizo kwani ww japan umeileta kwa bei gani na wengine washindwe?
kaka mwaga details hapa, maelezo yako hayatoshi mtu yeyote anaweza kusema hivyo ulivyosema, tafadhali kabla ya mambo mengine weka picha ya gari!!!!!!!!![/QUOT
picha mbona zipo hapa
jamani tuwe wastaarabu hapa kila mtu ana uhuru wa kutangaza biashara...kama umeshindwa tulia ama chapalapa waachieni wenye uwezo msiwakatishe watu tamaa
Ok Mkuu,
Niko serious hapa, naomba nipe majibu katika mambo haya, Gari ni ya mwaka gani? Unaweza kuweka hapa specifications zinazoambatana na hiyo gari? Endapo tunakubaliana kuhusu bei uko tayari kuchukua down payment ya 70% then 30% nikulipe after 2 months? Gari utanipa lakini Registration card utakuwa nayo wewe!