2000 Toyota Mark II

2000 Toyota Mark II

Mfikilwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2008
Posts
412
Reaction score
123
Toyota Mark II,GX100,VVT-I Engine, 2000 Model,cc 2000,imetembea japan km 88,000. bei Milioni 9,mazungumzo yako kidogo,imelipiwa ushuru na imesajiliwa, Engine ni sawa na cresta gx100 new model ama na mark2 110. nitwangie namba 0715250540 ama 0773250540
 

Attachments

  • 01.jpg
    01.jpg
    29.1 KB · Views: 129
  • 02.jpg
    02.jpg
    29 KB · Views: 118
  • 03.jpg
    03.jpg
    37 KB · Views: 101
  • 04.jpg
    04.jpg
    40.8 KB · Views: 103
  • 05.jpg
    05.jpg
    37.1 KB · Views: 99
Bandugu gari hiyo ni biashara nashusha wiki ijayo toka Japan, ni Toyota Mark II,GX100,VVT-I Engine, 2000 Model,cc 2000,imetembea km 88,000. bei Milioni 9.5

Ok mkuu am interested kwenye hii gari ila nina hitaji punguzo..7million naweza lichukua mara lifikapo.Tuanze wasiliana..?
 
Ok mkuu am interested kwenye hii gari ila nina hitaji punguzo..7million naweza lichukua mara lifikapo.Tuanze wasiliana..?

hiyo million7 ushuru unalipa mwenyewe mkuu? sawa kama ni hivyo tuwasiliane!
 
wakuu, gari bado biashara, naomba hata kama si wewe basi labda umesikia mtu anataka, ndiyo kufaana kwenyewe huku wakuu, asanteni.
 
Back
Top Bottom