Bandugu gari hiyo ni biashara nashusha wiki ijayo toka Japan, ni Toyota Mark II,GX100,VVT-I Engine, 2000 Model,cc 2000,imetembea km 88,000. bei Milioni 9.5
Ok mkuu am interested kwenye hii gari ila nina hitaji punguzo..7million naweza lichukua mara lifikapo.Tuanze wasiliana..?