Kaizer
Kwa mtazamo wangu amekosea na hakujua..Acha tu kuna siku ilinikuta nilidata kuiondoa BN, haitoki mpaka Mods wacheze..
changamkia gari hilo mkuu..
Kaizer
Kwa mtazamo wangu amekosea na hakujua..Acha tu kuna siku ilinikuta nilidata kuiondoa BN, haitoki mpaka Mods wacheze..
changamkia gari hilo mkuu..
sawa Belly, hilo gari na iyo rangi yake naona ingekufaa zaidi wewe au sio? mi kadogo mno....lol
Hehehe ulijuuuta siku ile.
Hilo gari vp naona bei nzuri sana na gari lenyewe bado lipo order fanya makeke Bellies.