2000 TOYOTA Vitz RS – 1300cc – 211,380 km – For Sale

Gari bovu lilishapata ajali, bei kubwa, kiingereza kingi. Unatuchosha mkuu
 
Ungeficha walau namba basi, ila usajili mfano T.... DVU ungeacha. Na siyo kufuta namba zote za usajli, huku bei yako ya kuuzia nayo ikiwa imesimama.
 
Toa tangazo lako uchafu kabisa, hujui kuandika tangazo na bei yako ya hovyo.
 
Gari yenyewe ni Vitz ila kisifa imefunikwa mpaka na lugha damn.

Ukiwa unauza Benz wewe si utaandika spanish. Anyway huwezi uza Vitz yenye 200k+km kwa hiyo bei unless una matatizo kichwani.
 
Milioni nane utakayempata basi ndo anajifunza kununua gari
 
Dah ugeni wa kuuza magari ni tatizo,bila kukudharau naomba niseme huwezi kuuza hiyo gari kwa bei hiyo labda atokee ndezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…