2001 Dudubaya(Konki) na Mr Nice walipopigana kumgombea Barbou

Kifo cha Dr Juma Omar Juma kilikuwa ni mipango ya Ben 10?
 
naona ujumbe wa Mamba umekasirisha wengi mpaka mnaamua kuyafukua makaburi ambayo hamna uhakika na kilichomo.Dudu Baya angekuwa analiwa asingekuwa na ujasiri wa kuwawashia moto waliwaji...kijana LINDA MGONGO
 
Waligombania kipato cha upambe toka kwa huyo tajiri na si vingenevyo kama unavyotaka tuamini.
Tangu lini mwanaume mwenye akili timamu akawa mpambe wa mwanaume mwingine??

Tena ifikie mnapigania kisa hela ya mwanaume mwingine??

Hawakuwa na nguvu za kufanya kazi??

Mpaka kupigana walihitaji kumilikiwa full stop cc cocastic BICHWA KOMWE
 
naona ujumbe wa Mamba umekasirisha wengi mpaka mnaamua kuyafukua makaburi ambayo hamna uhakika na kilichomo.Dudu Baya angekuwa analiwa asingekuwa na ujasiri wa kuwawashia moto waliwaji...kijana LINDA MGONGO
Nyuma ya pazia inawezekana ni mkakati wakutangaza hizo tabia kwa jamii.
 
Kidogo changu mimi nawe ,kikubwa cha barabuu ,mali zao zifanye upagawe na kuniweka roho juu.
 
Na vituo vyake vya mafuta vya TIOT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…