inachukua muda gani hadi kufika bongo
Make : Toyota
Model : Brevis
Mileage : 96,728km
Engine size: 2,490cc
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Automatic
M/Year : 2002
Doors : 4
Seats : 5
FEATURES :
Air Conditioner
Power steering
Power Windows
Alloy wheels
Radio
ABS
Bei Tshs 11,100,000
imejumuisha :
Ushuru [emoji736]
Marine insurance [emoji736]
registration [emoji736]
Bima ya barabarani [emoji777]
Karibu
Nasikia kuna nyaraka za ukaguzi lazima zisainiwe na hiyo karatasi unagewa mnunuzi, hivyo kama specifications zipo kinyume na nyaraka za ukaguzi unaweza ukaachana nao.odometer mnachezea gar 2002 afu km chini ya laki
Nashauri akanunue brand new.Nasikia kuna nyaraka za ukaguzi lazima zisainiwe na hiyo karatasi unagewa mnunuzi, hivyo kama specifications zipo kinyume na nyaraka za ukaguzi unaweza ukaachana nao.
Hapa gharama inaonyesha ni milioni 11.1, brand new ni shilingi ngapi?Nashauri akanunue brand new.