ipo mkoa gani?
mkulu,Nashukuru kwa kuuliza. Nivumilie kidogo nikipokea picha toka kwa bwana mdogo nitaziweka hapa.
Mkuu mm si mnunuzi,ila 1.kipengele cha guarantee nakushauri ukitoe,hata Toyota,TZ(IMM)Wanakwambia chukua bimaNdio imetoka kulipiwa ushuru TRA Jana na Leo ina itatolewa Bandarini Dar es salaam. Picha zinaweza kuja baada ya kuweka plate number za Tanzania. Kwa mwenye kuifikiria hiyo anaweza kusubiri picha.
Na nitatoa miezi 6 gurantee kama italeta shida kwa parts yoyote tuna replace.
mkulu,
mbona umekazana kujibu swali la picha tu lakini la bei unalikwepa?
hebu weka bei bana watu wabagain!
Mkuu mm si mnunuzi,ila 1.kipengele cha guarantee nakushauri ukitoe,hata Toyota,TZ(IMM)Wanakwambia chukua bima
2. Wa Tz tunapenda bargaining wape bei ongeza mil.2 za kupunguza. 3. Si una picha za Japan?wawekee hz. Kama unataka msaada wa bei nasikia zinauzwa 15mil.~ahahahaaa.