Nikukumbushe tu kwamba, mifumo mipya ya engine.Cc 3000, V6 engine, Petrol, 4WD labda uwe na kisima chako cha mafuta. Usawa huu mimi hapana aisee
Nikukumbushe tu kwamba, mifumo mipya ya engine.
Wametengeneza kwa kuzingatia sana utumiaji wa mafuta
Yaani gari iwe na high perfomance lakini mafuta yaende kawaida.
Ni tofauti na zamani.