silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,278
- 1,794
ni kama 2 millionkwa uzoefu wako kuitoa Zenji hadi huku bara kodi itakua sh ngapi?
Ha ha haa. ni bora niuze hapa Zenji yakheIvushe na toa hiyo pret no nyeupe uweke ya njano nakupa hiyo hela bila kuomba punguzo
Magari ya Zanzibar ni Pasua kichwa ukifika huku unalipia kodi tena kama huko kodi yake amelipa 2.5 ukifika huku kwetu kwa wazee wa kodi wanakupigia kodi nzima kisha wanatoa kodi iliyolipiwa Zanzibar kutoa Gari Zanzibar inafika mpaka 500,000 bora kununu hapa home
Mkuu umetumia vizuri uhuru wako wa kikatiba kutoa maoni. Ila umededuce incorrectly . Magari ya znz mengi huwa mazuri. Ishu ya ushuru hiyo ni kero ya Muungano ila bado haufikii ushuru wa bara wa gari iliyokuja huko moja kwa moja.Magari ya Zanzibar ni Pasua kichwa ukifika huku unalipia kodi tena kama huko kodi yake amelipa 2.5 ukifika huku kwetu kwa wazee wa kodi wanakupigia kodi nzima kisha wanatoa kodi iliyolipiwa Zanzibar kutoa Gari Zanzibar inafika mpaka 500,000 bora kununu hapa home
Mkuu Zanzibar mtaa gani?Mkuu umetumia vizuri uhuru wako wa kikatiba kutoa maoni. Ila umededuce incorrectly . Magari ya znz mengi huwa mazuri. Ishu ya ushuru hiyo ni kero ya Muungano ila bado haufikii ushuru wa bara wa gari iliyokuja huko moja kwa moja.
Malindi Tausi karibu na msikitiMkuu Zanzibar mtaa gani?
Mkuu suala la TRA ni tata kidogo ila sidhani kama wanastahili lawama. Viwango vya kodi Znz na bara ni tofauti kutokana na uchumi wa znz kuwa mdogo. Sasa unapoingiza bidhaa ZNZ halafu ukaipeleka bara hapo ndo unapotakiwa ulipe nakisi ya ushuru. Lakini pia ni nafuu na inawasaidia wafanyabiashara wadogo. mfano gari ushuru ni milion 10 ukiipitishia Znz unalipa Mil 5 sasa ukiipeleka bara unamalizia ile 5 .Yaani ushuru ni ule ule mmoja. Kitu chengine kizuri ni kuwa kama hiyo gari itakaa ZNZ zaidi ya mwaka unalipa chini ya hiyo mil 5Gari nzuri mkuu, tatizo ni haya masuala ya kodi za nchi hii, serikali bado mindset zao wanachukulia magari yote kama anasa, kila siku wao TRA wanachowaza na akili zao mgando ni ku uplift kodi. Wanatakiwa kubadilika na kugawa makundi matatu ya magari katika kodi, yaani magari ya kawaida(Cc chini ya 2000), magari ya anasa ( saloons au wagons zenye cc zaidi ya 2000) na magari ya kazi (Pickups, lori nk) Hii ingesaidia watu wa chini wenye uhitaji hasa wa magari kama hitaji muhimu. Halafu yakiwa nchini kwa matumizi wataendelea kukusanya kodi zao za kawaida. Mwisho kabisa tunamuomba rais kodi za magari Tanzania hii kiwango kiwe kimoja, ZRA na TRA, hii ni aibu, kinawashinda nini kurconcile tofauti hizo za kodi ili hali kila siku mkituambia nchi hii ni moja??
HA HAA !!! ITAKUWA NIMEUZA 5.5 MIvushe na toa hiyo pret no nyeupe uweke ya njano nakupa hiyo hela bila kuomba punguzo