Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
-
- #481
Darasa la nne..
How about that??
Mmeanzaa, I mean no malice to nobody [emoji23][emoji38]
Nilikua darasa la saba.
Form v Musoma Tech high schools
2006 nipo nawinda ndezi na washkaji uko Muriet
Nilikua naandaa mazingira ya kupiga ESCROW
Zote ziliishia kwa malaya wa Africasana Mkuu.Najua izo
Hela mpaka
Leo unazo tugawane bas
Zote ziliishia kwa malaya wa Africasana Mkuu.
Kaapstad
Nilikua tatizo la Umeme litaendelea kuwepo mpaka nakufa... Pia nilitegemea sana Mamvi ashike hatamu hivyo tungeramba asali mpaka siku tunasema Buriani.[emoji23][emoji23][emoji23] ww lofa wezio walijenga
Cape Town, The mother city.
Nilikua tatizo la Umeme litaendelea kuwepo mpaka nakufa... Pia nilitegemea sana Mamvi ashike hatamu hivyo tungeramba asali mpaka siku tunasema Buriani.
Hapa nilipo naombea Bwawa la Nyerere iwe ni White elephant Scheme zama zirudi Mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mAjuto ni mjukuu
Hapa nilipo naombea Bwawa la Nyerere iwe ni White elephant Scheme zama zirudi Mkuu.
ππππKumbe tupo wengi wenye maon hayo dah
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sasa hivi tunatengeneza walk of shame.Acha tu now njaa kali hatujulikan ten