Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
Da kweli, humu huwa tunachati na vitukuu!Shikamoooo nilisahau ππ
Nyie vijana mbadike Sasa , mrudishe heshima ya jf2006 ulikuwa wapi?
Mimi nilikuwa ndio nazaliwa wewe je? πππ
Tubadilishane bas uje ujanani ahahhUjana raha mdogo wangu
Kumbe tumeichukua?Nyie vijana mbadike Sasa , mrudishe heshima ya jf
Ahhah mzee mtarajiwaAdvance
Kabisa mkuuu na tunawatukana kama utanDa kweli, humu huwa tunachati na vitukuu!
MmeishushaKumbe tumeichukua?
Ninyi mmeipandisha mpaka. Wapi?Mmeishusha
Ahhahha msepe mapema saanaIpo haja kuanziasha JF nyingine, hii tuwaachie watoto na vijukuu zetu
HaswaaaAhhah mzee mtarajiwa
Huo mwaka nilikuwa CHINA natafuta maisha. Mambo hayakueleweka nikarudi BOTSWANA.2006 ulikuwa wapi?
Mimi nilikuwa ndio nazaliwa wewe je? πππ
Ukaishia wapi?Huo mwaka nilikuwa CHINA natafuta maisha. Mambo hayakueleweka nikarudi BOTSWANA.
Pole mkuu acha vijana tuchezHaswaaa
Kama ww wa 2006 mi basi nilikua bado hata dalili an ya kuzaliwa2006 ulikuwa wapi?
Mimi nilikuwa ndio nazaliwa wewe je? πποΏ½
Ahahaha wewe itakuwa ndio walikuwa wanakufikilia π€¨ππKama ww wa 2006 mi basi nilikua bado hata dalili an ya kuzaliwa
Ahahah mzee kutoka.songea2006 nilikua intern Peramiho Hospital
Nilikaa BOTSWANA mwaka mmoja nikaelekea Afrika kusini 2008 nikazamia Uingereza ninapoishi hadi sasa.Ukaishia wapi?