2008 Kwa Mujibu wa Shetani

It could be more or less a psychological game.....cum withful thinking; and some hearsay.
 
Shetani,

Waonaje ungewauzia kina Masanja na Joti hili wazo? Ungepata hela nzuri.
 
Sasa nimeelewa maana ya rangi ya bluu kutanda kwenye hizi kurasa.

Kumbe JF taasisi rasmi ya CHADEMA?
 
Hahahaha,

Nilipoona Mchungaji kachangia mada ya shetani nilikumbwa na shauku ya kutaka kujua anachangia nini.

Nikafikiri atamkemea kwa jina la Yesu.

Kufungua mada, kumbe anamuunga mkono!

Vituko vya JF, Mchungaji na Shetani waungana!

Ngugu Pundit,

Sina mbavu umenikumbusha Biblia yangu pale Ufunuo 12:7 "And there was war in heaven. Michael and his angels fought against the dragon, and the dragon and his angels fought back" kwa hivyo inaonyesha kuwa kuna wakati walikuwa pamoja.

Nasubiri ugomvi uanze kama ilvyokuwa mbinguni enzi hizo. History tends to repeat itself. Hebu tukae makao wa kuangalia hiyo senema!
 
just sheer wishful thinking and some kind of pathetic personal resignation o f shetani's ego,anajaribu kupambana na kukata tamaa kwake kwa status quo ya hali ya kimaisha ya tanzania yetu hii.Shetani just quit day dreaming anf face the reality,let's join the fight against mafisadi and their ccm blanket!!
 
AMEN!!! Kwa yenye neema katika nchi yetu. YASHINDWE KATIKA JINA LA YESU YATAKAYOSABABISHA MFARAKANO

Mchungaji tunaomba utupe ya Kimungu
 
na mbingu pamoja na bahari jee? pia ni vya chadema?

mr blue chadema?

microsoft chadema?

Na manyasi na misitu yote ni CCM. Na yale mashuka ya kijani ya kufunikia marehemu muhimbili nayo ni CCM pia. Mshindwe na mlegee
 

Satanic wishes, Fisi na mkono wa Binadamu
 
Nakubaliana kinadharia na "maono" ya Ibilisi aliye Shetani kutokana na vipengele hivi alivyotaja katika vyote 13.

Vipengele hivi ni;- 1, 2, 7, 9, 10, 11, 12.

Sasa labda nimhoji Shetani, mbona hakuna kipengele namba 6? au huo ndio utume wa 666 na unaogopa kutumia tarakimu 6?
 
Ama kweli we mzee wa "Upako" maana wengine hatukuona kumiss kwa tarakimu "sita".. huyu inawezekana kweli ni "mjukuu wa shetani"..
 
Duh Shetani kala bann.Lakini jamaa huyu maandiko yake yana maana ndani yake.
 

Je, bado mwaukumbuka utabiri wa Shetani?!!!!!!!
 
Utabiri wako kiboko ! ila hiyo namba 13 sikubaliani nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…