darautobroker
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 685
- 600
Ni Kweli Kabisa Kwa Sasa Magari Yamepanda Sana Bei Kutokana Na Gharama Za Usafirishaji Yaani Freight Cost Na Kupanda Kwa Ongezeko La Bei Za Huduma Katika Bandari Yetu(Wharfage) Sambamba Na Ushuru Wa Magari Kuwa Juu.Kweli maisha yanaenda kasi sana, yaani taco la nyani linafika 40+ sasa!!
Aisee!
Sawa mkuu, ila bei zako huwa zipo juu kuliko madalali wengine, nimejiridhisha juu ya hilo baada ya kukufuatilia kwa muda kiasi.Ni Kweli Kabisa Kwa Sasa Magari Yamepanda Sana Bei Kutokana Na Gharama Za Usafirishaji Yaani Freight Cost Na Kupanda Kwa Ongezeko La Bei Za Huduma Katika Bandari Yetu(Wharfage) Sambamba Na Ushuru Wa Magari Kuwa Juu.
iSt Kwa Sasa Ambayo Haijasajiliwa Ni TSH 21,500,000/=, Toyota Carina Ni TSH 26,800,000/=, Na Nyinginezo Nyingi.
Asante Kwa Feedback!Sawa mkuu, ila bei zako huwa zipo juu kuliko madalali wengine, nimejiridhisha juu ya hilo baada ya kukufuatilia kwa muda kiasi.