Mm nadhani hamna gari mbovu wabovu ni wamiliki kwa maana ya kitofata masharti yake pamoja na kutoangalia alama za kutoa alarmNi gari nzuri ila kama wewe ni masikini itakupeleka kuwa fukara kwa sababu services yake pamoja na vipuri vyake vipo juu kidogo pia inahitaji akili za kutunza gari siyo kama hizi gari fulani mtu ananunua gari hajui hata specifications za engine oil viscosity na anakuwa anaweka oil anayojisikia yeye,kwa gari hii unaua engine fasta sana.