Kwa sasa hivi pote pame balance....ila East naona kiboko baada ya Amar'e kuhamia Wizzard kaongeza nguvu sana East......Eastern wana defence nzuri KG,Superman but Western wana forward kali mno Melo,Durantula na Black Mamba ,hii sio ya kukosa kabisa
naona blake griffin anafanya mambo hapa...
Hahah..msela nilijua mcgee atashinda sema ule mdunk wa kwenye gari presentantion yake ilikuwa kiboko jamaa walileta hadi kwaya lol. Naona waafrika wote wanasema Ibaka kaonewa lol.Mie nilikuwa upande wa Mcgee , lol si unajua anawakilisha lol.
sema kaniangusha kafanya mambo ya ajabu round ua klwanza final round kaishiwa.
Hahah..msela nilijua mcgee atashinda sema ule mdunk wa kwenye gari presentantion yake ilikuwa kiboko jamaa walileta hadi kwaya lol. Naona waafrika wote wanasema Ibaka kaonewa lol.
duh huyu rihanna na kivazi chake noma tupu.
man the NBA is all about entertainment...McGee was better than Griffin. Majaji wamechanganywa na show ya gari na kwaya kubwa, lakini Griffin hakuwa na dunk mpya hata moja, gari haikuwa mbali sana na rim, elbow hang ilikuwa kazi ya mzee mzima Vince Carter.