sasa hapo maalim, hiyo itakuwa inatafsiri nini?.......happy new year my boy Finest
Hahahahahahaha,vipi bwana mhandisi unamfukuza mtabiri tena?
hakika mwaka ujao ni mwaka wa mafanikio mengi
Ohoo asante sna Finest nawe pia:teeth:
Paka mweusi,hajanifukuza atii ameogopa n,siendelee kutafsiri.
Naww na kupa 5 maana ndie ulie nihamasisha kidogo niwape mambo...rejea thread yako...!
We maalim peleka utabiri wako kwa sheikh yahaya...acha kuibia watu mkuu..huo ni uwizi wa dhahiri
samahani ni Topical.
Paka nweusi usione aibu bora ujue mambo yako...hao wanamchukia mtu...hadi watu wengine!
Soma Gazeti la Mwananchi uk wa Nyota kila siku za wiki utaenjoy.
Tembelea kwenye matangazo madogo madogo...tafuta topic ya ( ijue nyota yako...katika simu yako).
Ntakutafutia link yao...kama jamaa wenfine humu naamini linapendwa na wao ..watakuwekea.Niko nje ya nchi mkuu,naomba unitabirie hapahapa.Gazeti la mwananchi siwezi kulipata.
Maria Roza, Maria Roza, Maria Roza, Maria Roza.. hujambo lakini?
Aamiin.@Vespa... thanks dude... i hope to see the more finest one next eyar... inshallah
the finest una akili sana hii kitu umeiona mwenyewe au umeisoma sehemu?kama ni wewe mwenyewe hongera sana na kwa wataalamu wa namba inawezekana kuna ujumbe hapo.