2012/2013 selection via TCU

dodoso

Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
41
Reaction score
8
jamani mbona wengine profiles zetu ziko marked Not yet Processed? kuna nini?
 
jamani mbona wengine profiles zetu ziko marked Not yet Processed? kuna nini?
Usiwe na wasiwasi (hasa kama jina lako halimo katika ile list ya waliokosa). Kuna watu nawafahamu wamechaguliwa UDOM, kwa mfano lakini profiles zao mpaka sasa zinaonesha "Not yet processed".

Kwa ujumla, TCU bado hawajajipanga ipasavyo. Sioni ni kwa nini katika uombaji wanataka mwombaji aweke postal address, email address, phone numbers kama vyote hivi wanashindwa kuvitumia ipasavyo katika kufanya mawasiliano na waombaji!
 
Walitoa but now wamebadirisha tena maamuz naona badae badae watarudisha again, ngoja tuisubiri
 
Waliniwekea asubuhi but now naona vilevile tusubiri ndugu
 

Mfano mzuri ni Mimi nimechaguliwa UDOM ila profile yangu iko masked "NOT YET PROCESSED" so vijana ondoeni shaka
 
Reactions: SMU

You hit the nail on the top, bro.
 
Reactions: SMU
asante mno maana nimeanza kupta wasiwasi, thanks in deed
 
Reactions: SMU
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…