Msilalamike sana, mwaka huu serikali haikupata mfadhili lakini juhudi za makusudi zinafanywa ili mwakani tupate mfadhili.
Niliumia sana baad aya kuona nchi ya Tanzania imeshindwa kuonyesha hata mechi ya ufunguzi wa kombe la Afrika, hivi sisi kweli tunaweza nini? Kenya na Uganda wanaonyesha maana wanajua faida zake kuwa ni pamoja na kuwajengea vijana wetu hamu na morale ya kuipenda michezo, ni mahali pa kuitangaza Tanzania badala ya kutumia billions kwa kuweka matangazo CNN na TV za nje ambazo sioni wala siamini kama inasaidia lolote.Nilishangaa zaidi kukuta TBC2 ambayo kabla ya kuzinduliwa kipindi kile tuliambiwa itahusika na ishu kama hizi zaidi lakini badal a yake nikakuta KIDUKU, yaani kweli TBC nzima amekosekana mwenye akili hata mmoja ya ku-advice juu ya hili? Au kwasababu wana mkataba na hawa Wachin sasa wanataka watu wanunue Startimes? Hii haikubaliki, ni lazima tujifunze kutumia fursa kama hii kuwajengea vijana wetu uwezo wa kimawzo kuipenda michezo kama sehemu ya ajira. Jumapili Njema
Kama jana ningepata access na komputer, ningeanzisha uzi huu. Nimevunjwa moyo sana na tmbo za hawa mapedejee wa bongo kujinasibu kupenda michezo. Hivi nani anaweza kukubali hopja zenu kwa nini hamjarusha matangazo ya mpira wa CAF?
1. Je hakuna pesa za kurusha?
2. Je au kwa kuwa Tanzania tulienguliwa mapema hivyo hakuna sababu ya kuona wenzetu wanafanyaje?
3. Kukosa uzalendo wa michezo?
Ukweli ni kuwa, ni aibu kwa watanznuia kupokea matangazo hayo kupitia KBC, huku media za bongo zikiendelea na starehe ya tamthilia na ujinga mwingine.
Big Kenyans kwa kuahidi kuturushia matangazo hayo, waandaeeni vijana wenu kwa next session, watanzania endeleeni na upuuzi wenu, siku zenu zinahesabika
yaeh hio ndio concern yangu kubwa pia, kuwa tulipokosa kwenda wc tukasema basi tunajiandaa na afcon ila ni lazima tupate mechi byingi, tulipotolewa kila kitu kikaanza kubadilika, sasa kilichobaki na kuonyesha kiduku tu
ccm na tbc-ccm wamechoka mkuu
Thanks Sobhuza, will be following your live feeds
Uwe unakuja chacha kumsaidia peas of ant kaka vibaya hivyo ... .... .... .... habari za masiku? Boos nasikia karibu kichwa kitapasuka sasa kamkosa huyu dogo hapa chini kutoka Brazil .. .... ...
Samba star ... Willian
Thanks Sobhuza, will be following your live feeds