Mensa has been shwown a straight red card!
Ghana substitution...
Not yet.
They are down to ten men now.
Hizi timu kubwa za Afrika kinachoziponza ni ubinashi, sasa Muntari ndio anafanya nini?
Hahah...nipo!!pumbavu.
Kumbe upo? Uwe unanisaidia kutoa updates, sio unasubiri matukio makubwa.
Ebo?
Hahah...nipo!!
Naona hawa Botswana wamepata nguvu sana!! Atleast sasa hiv wanashambulia
nawapa Ghana pongezi kwa ushindi.Full time in Stade dé Frenchville.
Ghana 1 - 0 Botswana