2012 African Cup of Nations.

sudan wanasonga mbele wamewazidi kwa goli moja angola
 
Ngoja nikacheze coupe decale,mwe vijana wa ali hasane Quatara mambo yao yametulia
 
the dutch coach they got, he is very skilled, they may go all the way and win it and their underdog status suits them very well! along with ghana and tunisia they have real good chance of beating ivory coast - everybody favourites!
 
Tumezowea matangazo ya radio sasa television wapi na wapi! Tbc ipo kisiasa zaidi.
 
hawa gabon watafika mbali aisee....watoto wanakipiga sana.....na support ya mama wa kwanza inawapa nguvu..
 
Umeshapata timu nyingine hawa wamefungasha virago bila hata point
 
Hii gemu gabon vs tunisia ndo robo au?
Robo bado, ni hatu ya makundi japo wote tayari wana pt6 na wenzao pt0 hivyo wamefuzu hatua ya robo final ambapo mshindi atakuwa na pt9.
 
leo naona milango yote migumu sio kama jana bwana kweli kutokupa point sio mchezo..
 
Robo bado, ni hatu ya makundi japo wote tayari wana pt6 na wenzao pt0 hivyo wamefuzu hatua ya robo final ambapo mshindi atakuwa na pt9.

shukrani mkuu, so wanapigania kuongoza kundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…