Magnificient penetrating pass by Badu,
too fast for Asamoah...
Its freekick to Ghana.
ghana kiungo cha kati kimezidiwa..
nimegundua muntari pale kati alikuwa jembeyeah.
Guinea wako smart sana, can they hold it till final minute?
kuna mchizi kakaa pembeni yangu ana midadi balaa.....anapiga foul yeye
majukwa yetu haya ya buku buku.....mikelele kibao afu jamaa anshangilia full mate ya beer kunrukia....yellow card kwa gui playeruko jukwaa gani mkuu?
Mi niko media room juu ya VIP hapa...
majukwa yetu haya ya buku buku.....mikelele kibao afu jamaa anshangilia full mate ya beer kunrukia....yellow card kwa gui player
kuna raha yake sana.....na kuna maneno balaapole sana.
Shaffih Dauda anaviita vibanda umiza...