2012 African Cup of Nations.

Endelea kutujuza mkuu.Hao majamaa yanayojiona yanajua kuliko wengine siyapendi hao CIV.
 
yaya toure haionekani kabisa...yeye na zokora bado wanaendleza bifu lao.....naona jamaa hawana ushirijiano kabisa.....
CIV wanashanbuliwa...
 
half time....mpira wa leo umeboa kichizi...no beer at all....mkavuu half time nasoma magazeti
 
FT zambia 3 - 0 sudani kwa matoleo hayo zambia imeingia nusu fainali..
 
Ivc wanapata goli la 2 kupitia drogba. Ivc 2:0 Guinea.
 
Leo naona wanatoa dosi za 3 bila loh
simba sijui watapewa ngapi na kiyovu kazi ipo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…