2012 African Cup of Nations.

Ghana wanapata kona ya kwanza na wanapata goli mensah. Gana 1:0 tun.
 
Tun wanapata goli kupitia khalifa. Ghan 1:1 tun. dk ya 42
 
Hawa Ghana sitawasahau walivyotaka kutu ua kule kwa Madiba.Bado na hasira nao.
 
Sikudhani kuwa pamoja na machafuko nchini kwao still Tunisia wapo fiti namna hii aisee!!Black stars roho mkononi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…