Last minute!
Its All Over!
Zambia are in the Final!
90+2'
Mweene given the decision as he nudges the ball away his first. Time the real enemy now for Ghana.
Its All Over!
Zambia are in the Final!
Niendeleze hapa game la mali na ivory coast au tuanzishe uzi mwingine?
Zamabia hilo kombe wana gundu nalo Ingeuwa timu nyingine kama ningeria aau camerron imewatoa ningesiitia lakini kwa zambia ka alivyosema katavi labda watatumbukiza mafanikio.
Emmanue mayuka unaweza kukuta ni mnyakyusa huyu lol
Sasa tufanyeje sisi Tanzania kama tumebaki "watazamaji" inabidi tusingizie undugu na hao wenye mafanikio. lolkwa hiyo alizamia nini...