2012 African Cup of Nations.

Vitu vyake si haba.ni half time zambia 0-0 ivorien. Napenda zambia wanavyojituma. Keep it up!
 
Tatizo liko kwa Refa babu.......Hataki Drogba aguswe,akiguswa tu filimbi......

Vyovyote vile...bado naona kama leo tunaweza kupata matoeo ambayo ni surprise!!

Ngoja nitafute chupa yangu ya Uhai water!!
 
zambia wanacheza soka la uhakika ktk kipindi hiki cha kwanza,wanafurahisha.
 
Boyz are rocking! Hakyanani wanashinda! Pengine pafyumu ya jirani itasitiri harufu mbaya toka pande hizi!! Pamoja sana Wazambiaaaaa!!
 
Hahaaaa, safi sana, hii ndiyo Bongo bana!! Hata uitangaze vipi Tz nje ya mipaka utaishia kutukanwa, kejeli na kuambiwa huyu sio raia wa Tz...si mnaona Dr Remmy Ongala

bali ukiwa fisadi utatetewa kwa nguvu zote ikiwamo hata nguvu ya jeshi watanzania wapumbavu wamewachagua viongoz wa ccm wapumbavu
 
Zambia washinde kwa heshima ya wachezaji wanacheza soka nyumbani na kuwapa matumaini Kuwa cheza ulaya pamoja na ujuzi ni bahati pia .
 
Kuna analyst mmoja wa CV yuko Supersport anachekesha sana...Yeye anaamini matokeo yatakuwa Zam 0 - 3 CV!!

Kaulizwa magoli yako wapi hadi sasa??

Kajibu hivi:

"The match is still going on...you have to wait and see
The boys know how to run but don't know how to hide.....
Zambians have done that....."!!!

Hahahahahahahahhaha!!
 
Naona hawa wazambia wanaweza kushinda! kuna chance ya ku sneak hapa! ngoja njikachukue beer yangu! niangalie 2nd half.
 
Mkuu hawa jamaa ni balaa tena wana akili sana na ndio maana wakawapa wapinzani nchi,kazi wanayoifanya hapa hakika yastahili pongezi we need to lean from zambia right now
 
fikiria zambia ingekuwa ni timu ya afrika magharibi ingekuwaje?

Nchi zilizotawaliwa na wafarasana kwenye michezo na sanaa na muziki zinafanya vizuri kuliko zile zilizotawaliwa na Waingereza . Wengi wanapata acces kirahisi ya "kuzamia". Miaka si nyingi tusishangae hata hata Rwanda waashiriki kobe la dunia kabla ya tanzania lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…