2012 African Cup of Nations.

Kipindi cha pili! Wenzetu pale karibu na Tunduma wanapambana! Tupo pamoja jirani!
 
Kuna analyst mmoja wa CV yuko Supersport anachekesha sana...Yeye anaamini matokeo yatakuwa Zam 0 - 3 CV!!

Kaulizwa magoli yako wapi hadi sasa??

Kajibu hivi:



Hahahahahahahahhaha!!

Analyst mwingine wa Eurosport anasema hivi
"Zambia are not afraid of the names. They are taking the match to Ivory coast".........
lol
 
Leo Simpendi Drogba! Full urojo!! Anajindondosha ovyo!
 
Kuna analyst mmoja wa CV yuko Supersport anachekesha sana...Yeye anaamini matokeo yatakuwa Zam 0 - 3 CV!!

Kaulizwa magoli yako wapi hadi sasa??

Kajibu hivi:



Hahahahahahahahhaha!!
Jamaa ni mu Ivory Coast.....Mwanzoni alisema CIV wanashinda 4-0
 
Kenneth Kaunda ndani!! Hakuna kulala mpaka kieleweke!
 
Naona Refa anaangalia faulo za Zmbia tu...CIV wanacheza faulo hapigi filimbi.......Inakera
 
Jamaa ni mu Ivory Coast.....Mwanzoni alisema CIV wanashinda 4-0

Yeah,

Wanasema ni mshauri wa mambo ya michezo (sports consultant) na amekuwa kwenye bench la Utangazaji la Supersport toka siku ya ufunguzi...

Ila nina wasi wasi kama anaweza objective kwa sababu kila wakati anasema kuwa hakuna timu bora kama CIV!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…