2012 African Cup of Nations.

...kwa washabiki wa Arsenal...kuona Gervinho ni majeruhi ni sawa na kutuzibia kipira cha oxygen...
 
Hata CIV wakishinda leo....Kwangu mimi mabingwa watabaki kuwa Zambia......Wamecheza mpira mzuri sana hawa vijana leo....

Wamewafunika kabisa CIV....
 
nini blatter hadi pele ndani..

Blatter namfagilai kwa drama zake zaidi ya pele.. Huyu jamaa bila yeye afrika wala isingeweza kuandaa kombe la dunia. Chama mpira Ulay haikimuhitaji na hkimpendi anategemea support ya nchi nyingine. Waingereza kukosa nafasi ya kuandaa Kombela dunia ndio basi wakaanza kufunua Uozo mabo wangepatawala isingekuwa issue. Lakini jamaa kadeal nao.

Jamaa madrama yake na jinsi anavyojibu maswali huwa ananichekesha kama si kukera. Madili ya rushwa si ulisikia majibu yake....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…