2012 African Cup of Nations.

Tunaelekea penality zambia watashinda hawa wakina droguba hawajui penality.
 
Kwa kuwa kipa watu waafrika mashariki na kati tunae, basi acheni twende penatini. Tutashinda!!!
 
CR7 anaipatia real goli la 3 huku yote akiyafunga..
fabregas atakuwa ana gundu kama ahamia barca wanakosa komber lol Ukiona hivyo jua maneno ya shabiki wa gunners ....

Tayari hapa ni Dk ya 115 bado bao ni bila kwa bila
 
Zam wamekoswa koswa...Kama watawea kuzivuta hizi dak zilizobaki basi wanaweza kushinda kwenye matuta!!
 
Safi sana beki ya Zambia........

Kipa Kennedy Mweene kaumia....
 
ngapi ngapi jamani, wengine star times katuzibia haonyeshi!!! kuanzia kesho nauza hii decoda kwa bei ya chini, anaetaka awasiliane nami haraka, ni ovyo sitaki tena poor service zao!!!!
naombeni matokeo pls
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…